Wednesday, August 13, 2014

HAWA NDIO WALIOPENDEZA ZAIDI KATIKA TUZO ZA TEEN CHOICE AWARDS 2014, SELENA GOMEZ AWAFUNIKA

Anaitwa Demi Lovato. ni Jaji wa kipindi cha The X Factor USA na pia ni mwanamuziki. anatamba nakibao chake kipya kiitwacho "Really Don't Care" kinachosumbua kweenye chati Mbalimbali za hapa duniani
Add caption

ni muigizaji maarufu na anajulikana kama Chloe Grace Molez. akiwa na umri wa miaka 17 ameshafanya makubwa zaidi Holywood kuliko umri wake. Kazi yake maarufu ni filamu iitwayo Kick Ass

Hailee Steinfield, (17) ameonekana kuwa mtu pekee anayefanya uamuzi sahihi ya Urembo na Mitindo. Ni muigizaji aliyependeza sana kwenye Red Carpet za tunzo hizo

huyu ni Nina Dobrev, muigizaji na mwanamitindo. Ameonekana kwenye tamthilia mbalimbali ikiwemo Vampire Diaries. ameonekana kupambanishwa na Chloe kwa kuwa mitindo yao ya mavazi iliendana. Nina alishinda tuzo moja kati ya mbili alizoshindania za usiku huo.

Mwanamuziki na muigizaji wa filamu maarufu duniani. ndiye aliyepigiwa kura an wengi kuwa alipendeza zaidi katika sherehe hizo. selena alibeba tuzo zote mbili alizoshiriki (Ultimate Choice Award, na Female Hottie)


Anaitwa Shay Mitchell, staa wa Series inayoendelea "Pretty Little Liars".vazi lake la white lace design limeonekana kufanana na lile la Kim Kardashian kwenye red Carpet ya TAO Nightclub, october 2013

Anaitwa Taylor Swift. vazi lake limemfanya aonekane poa zaidi hapo jijini Los Angeles kuliko alivyolitembelea hapo awali. top yake ya juu inagharimu Dolaa $745 na sketi yake ni $695.kibongobongo zidisha mara buku jero alafu ujiongeze

No comments: