Wednesday, August 13, 2014

Hii ni Mixing yangu mpya, ina ngoma zoote kali za sasa ambazo zinaisumbua dunia kwa sasa kwenye chati mbalimbali zikiwemo Billboard, iTunes na nyinginezo za Afrika na Tanzania.
Mchanganyiko wa ala za muziki kutoka pande mbalimbali za dunia pamoja na ufundi wa kuchanganya kitaalam umetengeneza burudani ya pekee.

usisahau kulike ukurasa (page) yangu, ya DJ Charlie One kwa mambo mazurimazuri zaidi ya haya.
unaweza ku 'like' pia na kuipakua (download) kupitia HulkShare.com kupitia hii link
http://www.hulkshare.com/re08f6qxeakg
Twitter https://twitter.com/DJ_Charlie_One
Youtube https://www.youtube.com/channel/UCwnksKZy0u1f_zOM50y0x0w
Kuisikiliza, Bonyeza PLAY
No comments: