Mwanadada
Mchapakazi na Mwanamuziki maarufu Duniani, Madonna Louise
Ciccone (Madonna) picha yake ya instagram
ikimuonesha akiwa kifua wazi, na bila ya chochote cha kumfunika kifuani.
Hii ndio picha aliyoipost Madonna kwenye akaunti yake ya Instagram juzi |
Madonna ameonesha
furaha hiyo hivi karibuni katika siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika tar 16
agosti mwaka huu.
Angalia jinsi Flash ilivyoficha chuchu ya titi lake. Post
yake inasemekana kukinzana na maadili ya akaunti ya Instagram.
Flashlights zenye herufi M zilizotengenezwa kwenye birthday yake |
Hii inawezekana kuwa picha ya zamani, kwani amefikisha
miaka 56 juzi lakini anaonekana bado mwenye uzri wa pekee kama kijana.
Pete ya Birthday ya Rihanna |
Pia aliweza kupost picha zingine zikimuonesha akiwa
jioni kwenye mtoko, na nyingine pia akionesha pete yake mpya ya siku ya
kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment