Wednesday, August 13, 2014

Nyimbo Mpya ya mwanadada Maryan inaitwa Tusonge.
Ngoma hii ina mahadhi ya Zouk, na ni mwanadada wa Kanda ya ziwa anayefanya vizuri sana katika muziki wa bongo flava.
nyimbo hiyo imerekodiwa katika studio za RockTown Records zilizopo Jijini Mwanza.

Kuisikiliza, Bonyeza PLAY

No comments: