Saturday, August 16, 2014

SIKILIZA NYIMBO MPYA YA BOB JUNIOR NA ROMA - MAUMIVU

 Hii ndiyo Ngoma Mpya iliyofanywa na watu wawili; Roma Mkatoliki a.k.a Roma2030 na Bob Junior
Ni ngoma ya pekee inayoonesha ushirikiano wa hatari na wa namna yake kati ya Bob Junior na Roma. kazi imesimamiwa na Sharobaro music
Kuisikiliza, bonyeza hapa
kuonyesha moyo wa dhati kwa Kazi hii NUNUA HAPA

No comments: