ni muigizaji maarufu na anajulikana kama Chloe Grace Molez. akiwa na umri wa miaka 17 ameshafanya makubwa zaidi Holywood kuliko umri wake. Kazi yake maarufu ni filamu iitwayo | Kick Ass |
Hailee Steinfield, (17) ameonekana kuwa mtu pekee anayefanya uamuzi sahihi ya Urembo na Mitindo. Ni muigizaji aliyependeza sana kwenye Red Carpet za tun | zo hizo |
Anaitwa Shay Mitchell, staa wa Series inayoendelea "Pretty Little Liars".vazi lake la white lace design limeonekana kufanana na lile la Kim Kardashian kwenye red Carpet ya TAO Nightclub, october 2013 |
No comments:
Post a Comment