Hii ni mixing yangu nyingine inayobebea nyimbo za zamani zilizowahi kutikisa na kusumbua kwenye ulimwengu wa kizazi kipya. lisaa limoja lenye mchanganyiko wa burudani isiyo na kikomo kutoka hapahapa Tanzania.
#DJ_Charlie_One
kuisikiliza, bonyeza PLAY
No comments:
Post a Comment